Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Njoo kwangu😃🤣🤣Hakuna timu ambayo wachezaji wote watakuwa na role ya kukaba 😂
Kuna game Van busten kakaba namba 6 pale mpka nimecheka
Njoo kwangu😃🤣🤣Hakuna timu ambayo wachezaji wote watakuwa na role ya kukaba 😂
Don't look down on my guys..Huyo kwangu thamani yake ni Selection Booster 😂
Ni kukamia tu ila kiuhalisia haipo hiyo 😂Njoo kwangu😃🤣🤣
Kuna game Van busten kakaba namba 6 pale mpka nimecheka
Ni mchezo tuuNi kukamia tu ila kiuhalisia haipo hiyo 😂
Sawa.Ni mchezo tuu
Wakuu finally i can seat in with legends NEGAN Gilberto_ na Mill broh View attachment 3428059
Ndugu zangu Edo kissy Mr Devil kwaherini
Razorblade sina cha kukuambia🤣🤣🤣
😂😂🔥 we kimya kimya umecheza lini na ulisema hauna simu?Wakuu finally i can seat in with legends NEGAN Gilberto_ na Mill broh View attachment 3428059
Ndugu zangu Edo kissy Mr Devil kwaherini
Razorblade sina cha kukuambia🤣🤣🤣
Hapana kaka nimecheza leo asubuhi nimeweka account kwa jamaa😃😃😃😹ulikua una kaza vidole kimya kimya
Leo asubuhi nilisema enough is enough let me do something View attachment 3428077
eFb 26 ambao hamna hamna badge ya division 1 hamtocheza game 😂😂Na wala sitaki kusikia chochote we chukua badge yako pigia picha mie sina huo muda 😂
Kabla simu haijaloga nilikuwa na points 1697 nadhan niilisema hili😃😃😂😂🔥 we kimya kimya umecheza lini na ulisema hauna simu?
HONGERA KWANZA.. afu jitetee 😂
Pvp kaka Ai nimemuachia NEGAN😃😃AI au PVP
iPhone imekupush 😂Kabla simu haijaloga nilikuwa na points 1697 nadhan niilisema hili😃😃
Leo nikaweka account kule kwa jamaa wa Rashford nikacheza
🤣🤣🤣🤣eFb 26 ambao hamna hamna badge ya division 1 hamtocheza game 😂😂
Kumbe ukichezea Iphone game tamu bhana🤣🤣🤣iPhone imekupush 😂
Upumzike sasa😀Wakuu finally i can seat in with legends NEGAN Gilberto_ na Mill broh View attachment 3428059
Ndugu zangu Edo kissy Mr Devil kwaherini
Razorblade sina cha kukuambia🤣🤣🤣
Unapenda sana kulala mkuu, amka kumekucha 😂😂😂eFb 26 ambao hamna hamna badge ya division 1 hamtocheza game 😂😂
Hapa hata nisipocheza mwaka mzima fresh 😃😃Upumzike sasa😀
Endelea kupambana mkuu, tafuta rank za juu 😂Hapa hata nisipocheza mwaka mzima fresh 😃😃
Last time uliniambia now nikiamua kupush kwenda division one naweza😃😃
Nikasema acha niishi na hiyo kauli😃😃😃✊✊✊✊🔥👏
Unapenda sana vita🤣🤣🤣Unapenda sana kulala mkuu, amka kumekucha 😂😂😂