eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Inanitosha hiyo😃 nahitaji beki wa kuendana na Cannavarro

Naitaman sana card ya VVD pale


Roho ya kuchoma coin iniepuke😃😃😃
Hiyo card ya VVD hata mimi naitaka ila upuuzi wa kucho.a coins sifanyi, acha aende tu 😂
 
Back
Top Bottom