eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Dah sijatulia hata ngoma imelud tena kati sijakaa sawa chuma cha pili...

Wakati bado najiuliza nimefungwaje hizi mbili kinaingia cha tatu na cha nne nikasema nimewezwa leo😀😀
Sasa kipindi cha pili nikataka nifanye tu mazoezi ya kupossess dah ikawa fursa kwako 😂.
 
😂😂😂 Kwel uliniokota
Hamna mkuu huwa nikiwa bado kwenye mazoezi ya tactic sijali kuhusu kufungwa, huwa naangalia sana madhaifu yatakuwa wapi ili nirekebishe, nilikuwa nataka nipossess ili kuzoea hiyo tactic pia maana Quick Counter kwa kiasi tayari nimeanza kuizoea.
 
Kuna jamaa nilikutana nae master wa possession game ngoja nikamwangalie Group kama atakuwepo
 
Selikavu nataka usiku tuguse, natumai umeongeza ujuzi wa kutosha na siyo zile ndege za mwanzo 😂.

View attachment 3303541
Mwamba ametambulishwa rasmi kuwa head coach wa timu yangu(Santos FC).

View attachment 3303542
Xabi Alonso amesema anataka kucheza mechi za kirafiki zisizopungua 5 na 3 kati ya hizo anataka kucheza na Selikavu (Alonso Day), mechi ya pili anataka kucheza na Edo kissy na mechi ya tatu anataka kucheza na NEGAN 😂.

Alonso Day ni kwaajili ya Selikavu 😂.
Code mkuu.
 
Kwa upande wangu nina tatizo la kutoa boko na nimeruhusu kufungwa sana kwa namna hii na tatizo lingine ni kwenye kutumia nafasi hasa nikikutana na mpinzani ambae yuko vizuri kwenye kuzuia.
Siku mbili hizi nmejifua kidog jinsi ya kuzitumia nafasi vyema., ebu nikusanye coin nikanase kocha mwenye double boster
 
Kwa upande wangu nina tatizo la kutoa boko na nimeruhusu kufungwa sana kwa namna hii na tatizo lingine ni kwenye kutumia nafasi hasa nikikutana na mpinzani ambae yuko vizuri kwenye kuzuia.
Kuhusu kufungwa dakika za mwisho fanya sub ya beki moja na kiungo around dakika ya 65 weka fresh legs itakupunguzia maboko.
 
Back
Top Bottom