carnage21
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 654
- 1,543
Ni kama utambulisho kuwa ulishawahi kuachieve nn kwenye game,mfano ni hizo badge za divisionBadge ndo manini tena
Me mgen live kwenye nimeanza kucheza week juzi
Ni kama utambulisho kuwa ulishawahi kuachieve nn kwenye game,mfano ni hizo badge za divisionBadge ndo manini tena
Me mgen live kwenye nimeanza kucheza week juzi
Mkuu kwa huo mfumo anaepaswa kukaa hapo golini ni defensive goalkeeper usimuweke Neuer anatoka sana.Courtiois ni Defensive goalkeeper kipa wangu huwa ni Neuer
Huyo anatoka mno nadhan game zako itabid awe anaanza Neuer tuu
Aah kumbe hizo kuna badge ya kufika division one??Ni kama utambulisho kuwa ulishawahi kuachieve nn kwenye game,mfano ni hizo badge za division
Kwa through zako hapana inabid akae Neuer tuu😀😀😀Mkuu kwa huo mfumo anaepaswa kukaa hapo golini ni defensive goalkeeper usimuweke Neuer anatoka sana.
Yap hata za dvsn 3 zipo,zinatofautiana rangiAah kumbe hizo kuna badge ya kufika division one??
Aah sawaa mkuuYap hata za dvsn 3 zipo,zinatofautiana rangi
Mkuu upo vizuri pia.Sema mkuu upo vizuri hatupo level moja hilo nikubali tuu...
Bado nahitaji kukaza vidole
Mkuu huyo Neuer sina hamu nae amenichomesha sana, namtumiaga mara chache tu.Kwa through zako hapana inabid akae Neuer tuu😀😀😀
Shukran kakaMkuu upo vizuri pia.
Aah courtois nimeanza kumtumia leo alikuwa anasugua nimepigwa goli live na mwamba katikati kabisa Neuer alikuwa kasogeaMkuu huyo Neuer sina hamu nae amenichomesha sana, namtumiaga mara chache tu.
Ila goli lako la kwanza nimelipenda hukutaka kupoteza muda 😂.Shukran kaka
Nimejifunza live ni kama CAF cheza mpira mzuri kama mamelodi utolewa😀😀soka la kucheza ni haram footballIla goli lako la kwanza nimelipenda hukutaka kupoteza muda 😂.
Huyo neuer ni kichomi sana bora hata donnarumma japo nae ndo walewale tu.Aah courtois nimeanza kumtumia leo alikuwa anasugua nimepigwa goli live na mwamba katikati kabisa Neuer alikuwa kasogea
Halafu ukajisahau hata hukushangilia sana 😂.Nimejifunza live ni kama CAF cheza mpira mzuri kama mamelodi utolewa😀😀soka la kucheza ni haram football
Itabid nimzoee Courtois sasaHuyo neuer ni kichomi sana bora hata donnarumma japo nae ndo walewale tu.
Dah sijatulia hata ngoma imelud tena kati sijakaa sawa chuma cha pili...Halafu ukajisahau hata hukushangilia sana 😂.
Mlete leo nipo mkuu😀Anaitwa the italian prince francesco toti😁😁
Huu mfumo pressing yake unaanzia juu sasa ikitokea umepoteza mpira halafu kipa wako ni offensive minded basi kwa anaetumia counter anakumaliza mapema tu.Itabid nimzoee Courtois sasa
Nimesha pigwa huko Form ikiwa A unaletewa wakulungwa tuMlete leo nipo mkuu😀