😀😀Twende nikakukamie maana kucheza na wewe ni kukukamia tu hakuna namnaAaah wapi unitwange tena 🏃♂️ 🏃♀️ 😃
Twende kaka nipe Id yako nikudd chapNipo mkuku. Nlikuwa napata skills😂
Nitakutafuta baada ya update maana leo nataka nikomae nifike dvn 2, nahitaji ushindi wa mechi 4 mfululuzo.Code mkuu.
Mpinzani akiwa anazuia sana ndo huwa nahaha naweza piga shots nyingi bila faida na ikitokea nimepata on target basi unakuta zimekula nguzo au napiga vishuti mtoto na mbaya zaidi pale ambapo nimebaki 1v1 na kipa halafu najikuta nimepiga through 😂.Siku mbili hizi nmejifua kidog jinsi ya kuzitumia nafasi vyema., ebu nikusanye coin nikanase kocha mwenye double boster
Kabisa mkuu huu mfumo ni unagusa na kuachia napema.Unatumia 4222? Mnona 4312 ni nzuri kwa one touch pass
Tangu jana nahangaika huko 😂.Razorblade tangu saa ngapi upo League tuu leo😀😀kweli umeamua kupanda kaka
Umesahau script sio😂Nitakutafuta baada ya update maana leo nataka nikomae nifike dvn 2, nahitaji ushindi wa mechi 4 mfululuzo.
Vip ilikuwaje??Tangu jana nahangaika huko 😂.
Konami walichonifanyia sina hamu, nilikuwa nimefikisha points 1435 nikawa napiga hesabu bado mechi 3, daah mechi iliyofata nimefungwa wakakata point 29 iliyofata nikapata sare wakakata point 5.Umesahau script sio😂