eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Funny thing ni kwamba tupo equal in strength 😂😂

Weka muda mkuu me nitakuwepo kwanza usiku mbali hata saiv tuu😂😂
View attachment 3303570
Hizo collective strength zisikudanganye mkuu subiri muda ufike tuingie uwanjani 😂.

Nitakutafuta kuanzia saa 4 usiku sasahivi mambo yamebana kidogo.
 
Razorblade Nimeenda kuangalia kikosi chako kina mia nyingi kuliko changu na bado collective strength tupo sawaa😀sasa sijui wananiwekea mtego
Halafu hii wiki nzima nilikuwa natumia makocha wa kununua kwa GP wenye possession tactic na quick counter tactic kwaajili ya mazoezi na wengi waliyakanyaga baadhi yao ni wenye badge za dvn 2 😂.
 
Selikavu nataka usiku tuguse, natumai umeongeza ujuzi wa kutosha na siyo zile ndege za mwanzo 😂.

View attachment 3303541
Mwamba ametambulishwa rasmi kuwa head coach wa timu yangu(Santos FC).

View attachment 3303542
Xabi Alonso amesema anataka kucheza mechi za kirafiki zisizopungua 5 na 3 kati ya hizo anataka kucheza na Selikavu (Alonso Day), mechi ya pili anataka kucheza na Edo kissy na mechi ya tatu anataka kucheza na NEGAN 😂.

Alonso Day ni kwaajili ya Selikavu 😂.
Dah hiyo formation inanitesa sana halafu wote wote Selikavu na Edo kissy nnaitumia. 80% ya vipigo na droo zangu zinatokana na hii formation 4312😀
 
Dah hiyo formation inanitesa sana halafu wote wote Selikavu na @edokissy nnaitumia. 80% ya vipigo na droo zangu zinatokana na hii formation 4312😀
Ile ya 4222 nilipigwa kama ngoma nilivyoingia div 3 nikaona nilud kwenye formation yangu pendwa😀 hapa natafuta destroyer au Anchorman namba sita Guardiola asogee mbele kidogo wakae na Rice.....

Rodri wa 101 naona yupo sokoni sasa nina coin mia nawaza nijaribu au nipotezee tuu😀😀😀
 
Rodri ana mwendo wa kobe watakubonda uchakae😀
 
Ile ya 4222 nilipigwa kama ngoma nilivyoingia div 3 nikaona nilud kwenye formation yangu pendwa😀 hapa natafuta destroyer au Anchorman namba sita Guardiola asogee mbele kidogo wakae na Rice.....

Rodri wa 101 naona yupo sokoni sasa nina coin mia nawaza nijaribu au nipotezee tuu😀😀😀
Kumtumia DM(Orchestrator) kwenye mfumo wa 4-3-1-2 ni hatari sana 😂.
 
Back
Top Bottom