eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Selikavu Razorblade mnipe matokeo 🤣🤣
Screenshot_20250414-233828_1.jpg

Nimepigwa tenašŸ˜€na nisingekaa sawaa nilikuwa nalud na week nzima leo


Razorblade kaka ulienda Course ya pasišŸ˜€nashangaa tu 1v1 za kutosha
 
Lazima ujicheke first half nne mojašŸ˜€ukaamua upooze mashambulizi ukaweka na defence kabisašŸ˜€šŸ˜€

Sema me mwenyewe nilikata tamaa nikawa nacheza tuu game iishe nilivyopata la pili kdg hali ikaludi
Nilipoa nikasema ngoja nitafute goli 1 tu niifunge mechi daah sijakaa sawa chuma sijakaa sawa tena chuma ingine nikaanza kujicheka šŸ˜‚.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom