Complete striker with 2 boosters(attacking & striker's instinct) phenomenal finishing, bullet header, blitz curl.Konami baada ya kunipa Striker la Dunia kwa akina Lamal pale View attachment 3392563
Wakaona wanibless Vini😃😃😃View attachment 3392562
Kuna watu hatufaidiki kabisa na hizi free chance😬Konami baada ya kunipa Striker la Dunia kwa akina Lamal pale View attachment 3392563
Konami wanajua kile nina taka🤣🤣🤣Complete striker with 2 boosters(attacking & striker's instinct) phenomenal finishing, bullet header, blitz curl.
Player skills
-Heading
-One touch pass
-Acrobatic
-Visionary pass
In short he's the best in all aspects.
Acha tu mkuu kuna mdau nilimfungulia game juzi kati kapewa zake Bellingham wa 107😃😃Kuna watu hatufaidiki kabisa na hizi free chance😬
Kwa upande wangu huwa natamani zisiwepo tu 😂Kuna watu hatufaidiki kabisa na hizi free chance😬
Bora huyo mara 1000 kuliko etoo na rummenige 😂Konami wanajua kile nina taka🤣🤣🤣
Kazi kazi.Nina wakilisha vyema na kikosi yangu ya 3090View attachment 3393206
Game zidi yaView attachment 3393207
Matokeo View attachment 3393208
View attachment 3393209
Vijana wanapiga kazi😃😃😃
Huyu jamaa nilikuwa najiuliza ni lini atashinda walau awe hata na goli 1, hatimae amefanya hivyo na ndo lilikuwa bao la ushindi 😂
View attachment 3393311
Hakuna namna 😃Kazi kazi.
Huyu mwamba kushambulia siyo shida zake kabisa ila angekuwa Guardiola idadi yake ya magoli ingekuwa inafukuzana na Strikers 😂
Huyu mwamba kushambulia siyo shida zake kabisa ila angekuwa Guardiola idadi yake ya magoli ingekuwa inafukuzana na Strikers 😂
Goli lilivyoingia nikawa nasubiri replay nione aliyeshinda, nikamuona yeye bhana karuka header hadi nikacheka kwanza 😂
Umempata na kiberenge Vini kazi ipo 😆 hizo counter 🙌Nina wakilisha vyema na kikosi yangu ya 3090View attachment 3393206
Game zidi yaView attachment 3393207
Matokeo View attachment 3393208
View attachment 3393209
Vijana wanapiga kazi😃😃😃
Umejitahidi mechi 50 goli 2 😂
😃😃😃 Uzuri Card yake ni CF ambayo ni Adv Striker nilivyopata moja kwa moja akapitiliza kikosiniUmempata na kiberenge Vini kazi ipo 😆 hizo counter 🙌
Mawili atoe wap moja kaka😃😃😃Umejitahidi mechi 50 goli 2 😂
Niliangalia vibaya, hata hivyo umejitahidi.Mawili atoe wap moja kaka😃😃😃