Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,003
- 12,498
Nilikutana na mtu anatumia hiyo, bahati nzuri kwenye ile account nimeweka back five maana hizo through ball zilikuwa zakutosha 😂Smart assist division 🙌🗑️unakuwa kama unachangiwa na Ai pamoja na mtu 🤣🤣🤣