NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Mreport wampige rungu😀Kabadili lakini bado CB na CF zipo 😹😹View attachment 3394666
Mreport wampige rungu😀Kabadili lakini bado CB na CF zipo 😹😹View attachment 3394666
Ubaya UbwelaMreport wampige rungu😀
Striker wa 3 ni moto sana. Mimi bila winga siwezi kuchezaMfumo wangu unahitaji striker wawili tuu kuna kipind nilijaribu kucheza na watatu nokashindwa😃😃😃
Sasa mpaka wajue si umekuwa reported😃
😹😹muhimuMreport wampige rungu😀
Wahuni wana hack adi e football ,kama dsl tulikua tuna jaza coins 😹😹Sema hapo disadvantage mara nyingi wale naturally CB hawanaga stamina ya kutosha kwahiyo ukimuweka upande Lb na Rb na CB yale atachoka mapema dakika ya 60 unakuta stamina Low
Ulisema game ijayo tukicheza utakuja bila mawinga😃😃😃Striker wa 3 ni moto sana. Mimi bila winga siwezi kucheza
Kuna jamas nilikutana nae ana Messi blitz curl nikasema hapa nitakula nyingi nikamuwekea man marking 😂 ila alipata goli 1 huyohuyo Messi.Ivi Unafungwaje na kikosi ina Etoo ndani na Suarez wa 107 useless kabisa...
Kuna ndugu yangu nilikuwa nacheza nae game ila namba yake sikuwa nayo, alinipiga game 3 mfululizo.Jamaa nime mkanda na li kikosi lake View attachment 3394278View attachment 3394279View attachment 3394280
Ila Smart assist inakua ngumu ku intercept maana wewe unakua una kaba kichwa kichwa uku yeye inaenda tu 😹Kuna ndugu yangu nilikuwa nacheza nae game ila namba yake sikuwa nayo, alinipiga game 3 mfululizo.
Nilikuwa nimehotspot kufanya transition kwangu ilikuwa slow ila kwenye game jamaa yuko vizuri.
Moja kati ya mechi mbili za mwisho akaandika jina la team Razorblade mtumie Batistuta, ikabidi nifanyie kazi ujumbe japo hii mechi pia alinifunga ila Batigoal alizama wavuni.
Mechi ya mwisho akabadirisha tena jina akaandika Hii ya mwisho nikaona hii fedheha sasa mechi zote nifungwe 😂
Bahati haikuwa upande wake nikampiga 5-2, Batigoal akipiga 3 peke yake 😂
NB: Smart assist jamaa anajua kuitumia maana nilikuwa nafungwa magoli hadi huruma 😂
What a wastage 😃😃Kuna jamas nilikutana nae ana Messi blitz curl nikasema hapa nitakula nyingi nikamuwekea man marking 😂 ila alipata goli 1 huyohuyo Messi.
Mwingine nae ndo nilimuona mjinga yaani dvn halafu anataka kumjaribu Yamal blitz curl nikaona isiwe tabu nikamuekea man markin nae, mechi ikaisha nyau nyau 😂
Mbona kuna jamaa anatumia anafanya interception sanaIla Smart assist inakua ngumu ku intercept maana wewe unakua una kaba kichwa kichwa uku yeye inaenda tu 😹
Mtu anatumia smart assist halafu mie nyuma kuna back 3 na mbele kuna 3 strikers, ilikuwa piga nikupige ila alinizidi kwa sababu ya hostspot na smart assist 😂Ila Smart assist inakua ngumu ku intercept maana wewe unakua una kaba kichwa kichwa uku yeye inaenda tu 😹
Huyu jamaa wa pili ndo alinitia hasira sana yani yeye akipata mpira tu anampasia Yamal hatakama akiwa katikati atafanya dribling mpaka karibia na box 😂What a wastage 😃😃
Ultra Defensive na Man marking unataka afungaje sasa😃😃Huyu jamaa wa pili ndo alinitia hasira sana yani yeye akipata mpira tu anampasia Yamal hatakama akiwa katikati atafanya dribling mpaka karibia na box 😂
Kafanya hiyo michezo mwisho nikashindwa kumvumulia nikamuwekea ultra defensive na man marking 😂
Jamaa alileta dharau sana sijui kwakuwa aliona kikosi kidogo, ujasiri wa kufanya dribling karibu nusu nzima ya uwanja ni dharau kubwa 😂Ultra Defensive na Man marking unataka afungaje sasa😃😃
🤣🤣🤣🤣 Ulikata unyongeJamaa alileta dharau sana sijui kwakuwa aliona kikosi kidogo, ujasiri wa kufanya dribling karibu nusu nzima ya uwanja ni dharau kubwa 😂
Sikusubiri hata half time, majaribio yake akafanyie kwa wengine 😂
Siwezi kuwa sehemu ya majaribio yake 😂🤣🤣🤣🤣 Ulikata unyonge
Mbona ipo Mkuu nimekutana na watu friendly wengi wamewekaKumbe kwenye game wameiweka Tanzania na hatuambiani wakuuView attachment 3394939View attachment 3394940View attachment 3394941
Dah nilikua sijuiMbona ipo Mkuu nimekutana na watu friendly wengi wameweka