eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hawa uwa wananunua au bahati tu ?
Screenshot_20250611_221038_eFootball.jpg
 
Selikavu umeamini🤣
1000106675.png
1000106676.png
sijui alikuwa anajaribu nini hajakipanga vizuri
 
Screenshot_20250615-205623.png

Huyu Hapa mkuu NEGAN

Ana LBC 80 na LB 89


Alonso anazingua sana😃 sasa kwa sasa sion kocha wa kueleweka wa LBC au QC kuchoma coin kwenye epic bora nimchukue huyu

Japo booster zake sijazikubali wala nini na kitunza coin kwangu kipengele😃
 
Back
Top Bottom