Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Siku moja moja muwe mnaweka na takwimu zenu za My League.
Huo utatu hapo mbele ni 🔥
Batistuta+Messi+Drogba=BMD
Huo utatu hapo mbele ni 🔥
Batistuta+Messi+Drogba=BMD
Ndo hilo hiloTupeni picha za playstore basi tudownload maana nimesachi kule nakuta lina 2GB ndo lenyewe?
My league kitambo ngoja nitajikongoja hvyo hivyo...Siku moja moja muwe mnaweka na takwimu zenu za My League.
View attachment 3368906
Huo utatu hapo mbele ni 🔥
Batistuta+Messi+Drogba=BMD
Ndiyo, ila inaweza ikapotea maana nimetumia simu ya mtu na sijalink.My league kitambo ngoja nitajikongoja hvyo hivyo...
Umeshafungua Account ya Japan??
Tengeneza email link chap uzuri chrome wana option ya translation to EnglishNdiyo, ila inaweza ikapotea maana nimetumia simu ya mtu na sijalink.
😅😅nipo nafasi ya 2 naenda na level ya legends tuSiku moja moja muwe mnaweka na takwimu zenu za My League.
View attachment 3368906
Huo utatu hapo mbele ni 🔥
Batistuta+Messi+Drogba=BMD
Nipo kaka, ila sija settle badae badae.Mkuu u wapi
Konami hawacheki na yoyote😅. Ukiingia kwenye mfumo ni humu tuIla Osimhen nimeenda Hadi kumcheki bei za coin🤣. Konami wezi sana dadeq💔🚮
Bora bei ya mchezaji ingekuwa inafahamika. Mambo ya kuspin hayo ndio wanapotuibiaNatamani sana huyo jamaa ila ndo siwezi toa hela ninunue coin.
UpoWakuu tupashe