eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

😅😅kui create itabidi utumie V.P.N ama vipi
Amna kawaida tuu pale kwenye kuselect Region unaweka Japan sema kimbembe kipo kwenye kulink na konami Id utaletewa hicho kijapan lazima uwe mtundu kdg kubadilisha lugha upande wa chrome na kwenye email...

Ila hakuna changamoto yoyote
 
HAMNA WAGENI HUMU NIWE 'TISHIA WAGENI'? 😂😂🔥😎
eFootball™_2025-06-15-10-08-05.jpg
 
Mniombee nitunze coin wakuu😃😃😃
Mi nimeshindwa. Kuna mbinu nimeipata saivi ya kutunza coins 😂 mana hapo hiyo screenshot si unaona sina hata coins.

Screenshot_20250614_115320_eFootball.jpg

Umeona hapo kwenye notification coins zipo kama 300 sitaki kuzi-claim nitapata tamaa ya kuspin ndo njia ya kutunza kwangu.

Huwa naingia naclaim zile trainings tu coins naacha 😂😅
 
Mi nimeshindwa. Kuna mbinu nimeipata saivi ya kutunza coins 😂 mana hapo hiyo screenshot si unaona sina hata coins.

View attachment 3370383
Umeona hapo kwenye notification coins zipo kama 300 sitaki kuzi-claim nitapata tamaa ya kuspin ndo njia ya kutunza kwangu.

Huwa naingia naclaim zile trainings tu coins naacha 😂😅
Jichanganye Si expire na ulisahau😂😂🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom