eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Bora bei ya mchezaji ingekuwa inafahamika. Mambo ya kuspin hayo ndio wanapotuibia

Sema kama una Batistuta anatosha , Osihmen mwenyewe mzito bora hata ya Mbappe potw
Eti kama Guardiola hivi afu mbili yako safi kabisa😃😃
 
😃😃😃Toa tu kaka😂😂
A wapi sema teacher wangu wa game kawekeza kinoma
1000106646.png
 
Back
Top Bottom