Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Nenda kwenye upande wa notifications kule kuna taarifa inaekeza ni kwanini, kifupi wamebadirisha utaratibu.Halafu wakuu imekuaje hii phase nimeanzia division 3 na sio division 4?
Nenda kwenye upande wa notifications kule kuna taarifa inaekeza ni kwanini, kifupi wamebadirisha utaratibu.Halafu wakuu imekuaje hii phase nimeanzia division 3 na sio division 4?
Nakaza kishenz bora sare kuliko lose.Mtego huo mkuu, ikitokea umefungwa na hao wa dvn 3 utakatwa points za kutosha 😂
Magroup nilileft baadhi maana ilikuwa too much sasa😃😃😃Watafikia huko saivi. Haujaona kule kwa Zico kuna mtu ana 3280+ na hapo kuna wachezaji wapo reserve wana 105-6.
Kama ulishawahi kufika division 1.Halafu wakuu imekuaje hii phase nimeanzia division 3 na sio division 4?
Huyo jamaa hataki ubadirishe hata mpiga kona 😂😃😃Huko Whatsapp kuna balaa Kuna jamaa anajiita Sure mreno anakuambia aje mtu ambaye hapause game mwanzo mwisho wala kubadilisha wapiga kona😂😂😂
😃😃Me kama amenibahatisha huwa naomba rematchHaha, mtu alieweka no akinifunga huwa natamani nimfate nimtukane ila nakaza 🤣
Kwa nini?Magroup nilileft baadhi maana ilikuwa too much sasa😃😃😃
😃😃 Hapo upo na WA division one wenzako ndo maana game gumu😂Kumbe😃
Niombe rematch nichakazwe 😄 🤣😃😃Me kama amenibahatisha huwa naomba rematch
Unganisha na Konami Id bila hiyo hizo coin 25 za kila jumatatu huwezi kuclaimNataka nijaribu tu kwanza kama kuunganisha nitatumia Google ID(Google Play Games).
Me sikucheza kabisa sijui nitaanzia wap😂😂Kazi kwenu muuane div 4 mechi 10 za moto 😃
Kuna mwamba alikatwa point 50😂😂Mtego huo mkuu, ikitokea umefungwa na hao wa dvn 3 utakatwa points za kutosha 😂
Hata sare unakatwa za kutosha tuu😂😂Nakaza kishenz bora sare kuliko lose.
Kama ulishawai kufika au huo msimu ulioisha kama ni hivi basi me nitakuwa Division 4Kama ulishawahi kufika division 1.
Points 5 tu, sijawahi kuzidishwa labda nikifika div 1Hata sare unakatwa za kutosha tuu😂😂
Nilitaka nicheze nae nione ana mpira gan maana sio kwa hizo mbwembweHuyo jamaa hataki ubadirishe hata mpiga kona 😂
Hata kama tangu phase 1. Mana mi mara yangu ya mwisho kufika div 1 ilikuwa yangu mwezi wa 2 huko division sikucheza sana tena.Kama ulishawai kufika au huo msimu ulioisha kama ni hivi basi me nitakuwa Division 4
Ilikuwa ni mwendo wa kutafuta code siku nzima ikitumwa nimo🤣🤣nikaona nisipopunguza nitafia room siku moja🤣🤣Kwa nini?
🤣 anajichukulia tu kikosi kwenye vile alivyonavyoNilitaka nicheze nae nione ana mpira gan maana sio kwa hizo mbwembwe
Ila Mr Balle hata sijaribu maana najua hiyo kikosi hakuna duniani🤣🤣
🤣🤣 duhIlikuwa ni mwendo wa kutafuta code siku nzima ikitumwa nimo🤣🤣nikaona nisipopunguza nitafia room siku moja🤣🤣