NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Jaribu hiyo low hata ma pro wengi wa Japan wanatumia😀Barida tuu hakuna neno😃game inalag sana kwangu nikicheza game tatu nne lazima nitoke niende kuclear cache
Jaribu hiyo low hata ma pro wengi wa Japan wanatumia😀Barida tuu hakuna neno😃game inalag sana kwangu nikicheza game tatu nne lazima nitoke niende kuclear cache
Hata Dls nilikuwa nachezea low quality nimekuja huku sijui nilisahau vip kuweka Low qualityJaribu hiyo low hata ma pro wengi wa Japan wanatumia😀
Ndo nikianza kujifunzia game hiyo.Kheeh😃😃🙌🙌🙌mnawezaje kuchagua LBC mapema hivyo
Shukran.Weka hivi kama mimi u enjoy game. Hata Razorblade jaribu hii View attachment 3365157
Tatizo kwangu mimi ni simu mkuu, hapa kwenyewe nafikiria update ya kesho maana kila major update huwa nafuta game then nalirudisha tena.Razorblade weka hiyo setting tukatest mitamboView attachment 3365164
Naogopa sura za wachezaji😅Weka hivi kama mimi u enjoy game. Hata Razorblade jaribu hii View attachment 3365157
Siku ya kwanza nilishtuka kumuona Leao ana kipara 😀Naogopa sura za wachezaji😅
Sawaaa mkuuTatizo kwangu mimi ni simu mkuu, hapa kwenyewe nafikiria update ya kesho maana kila major update huwa nafuta game then nalirudisha tena.
Jana usiku ulivyotoka kwenye friend match nitakutumia invite hukuja😃😃😃View attachment 3365177
UMEMISI MAPIGO 😂😂🔥💔
Sikuiona, ilikuwa mechi ya ligi ko nilivyomaliza ile mechi sikurudi room nilichukua screenshot nikatoka mazimaJana usiku ulivyotoka kwenye friend match nitakutumia invite hukuja😃😃😃
Aah sawaa kaka😃Sikuiona, ilikuwa mechi ya ligi ko nilivyomaliza ile mechi sikurudi room nilichukua screenshot nikatoka mazima
Kama kawaida yao wanaweza wakaipeleka saa7Aah sawaa kaka😃
Ngoja tuendelee kungoja updates sijui leo itaisha saa ngapi
Huyo romario ni motoWatu wanafika 3200
Sawa mkuu nitaset hvoleoWeka hivi kama mimi u enjoy game. Hata Razorblade jaribu hii View attachment 3365157
kandambili1 hivohivo mkuuUsername yako na mimi niku add
Kheeh 😃😃sasa me nitafanya nini mpka hiyo saa saba😃🙌Kama kawaida yao wanaweza wakaipeleka saa7