Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Kama Namuona Nunez asee😃🙌🔥Siwezi kumuacha huyo winga wa edge crossing 😀
Kama Namuona Nunez asee😃🙌🔥Siwezi kumuacha huyo winga wa edge crossing 😀
Wamekupa??
Coins 1000 nimeteketeza. Uzuri jamaa big time kwa hiyo form yake inabaki BWamekupa??
Mzee umechukua Pack yote,🙌😃🔥
Aaah mkuu ulinunua pack yote ya 900Coins 1000 nimeteketeza. Uzuri jamaa big time kwa hiyo form yake inabaki B
Osihmen 100 coins. Baada ya hapo 900 coins colour nyeusiAaah mkuu ulinunua pack yote ya 900
Owaaa😃🙌🔥una nyota kali leo mkuuOsihmen 100 coins. Baada ya hapo 900 coins colour nyeusi
Simu gani nzuri kwa game hiyo?!Hili game nimeanza kucheza tokea mwaka 2018.
ila tangu mwaka jana walivyofanya update kubwa kutoka PES kuwa e football na mimi nikabadli simu.
Nikanunua simu ya Redmi 10A basi siwezi kulicheza tena simu haisupport na account yangu ya KONAMI nahisi ishafungwa.
Hapa nawaza nibadili simu.
Samsung yenye RAM 4 na kuendelea itafaa zaidiSimu gani nzuri kwa game hiyo?!
Kama unataka high graphics nadhani ram kuanzia 8 hivi na kuendelea. Kiujumla uwe na simu ya kwendaSimu gani nzuri kwa game hiyo?!
Hamna mbele kwa sasa sina shaka napo, nataka nyuma kuwe imara pia.Hutaki tena makosa ya kwa Bastoni😃😃
Ndo namtaka huyo atakuwa starter halafu Micky atakuwa sub.Sijui ni Destroyer ila kutokana na hiyo skills hapo atakuwa ni Build up tuu
Me nyuma naona unyama tuu😃😃namuwaza huyo jamaa wa Phenomenal Finishing na CMF huyoHamna mbele kwa sasa sina shaka napo, nataka nyuma kuwe imara pia.
Me nina Osimhen wa 98 anapiga kazi mbona 😃😃😃Sahizi natunza tu coins mpaka mwisho. Osihmen nimepigwa kubabake
Sio mda mbappe anarudi kwenye nafasi yake😂
Ukimaliza kuinsert mkuu kuna option pale pale itakuja ya full image unabonyeza