Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Asee bora niinstal kabisa😃maana ninakoenda network chengaIla update ya playstore tayari, tusubirie ya kwenye game tu.View attachment 3365451
Asee bora niinstal kabisa😃maana ninakoenda network chengaIla update ya playstore tayari, tusubirie ya kwenye game tu.View attachment 3365451
Majobless 😂Kheeh 😃😃sasa me nitafanya nini mpka hiyo saa saba😃🙌
Update mapema. Huwa inawasumbua watu kuupdate game likishafunguka linakuwa zito kuupdate mana watu wengi watakuwa playstore.Asee bora niinstal kabisa😃maana ninakoenda network chenga
Tayali kakaUpdate mapema. Huwa inawasumbua watu kuupdate game likishafunguka linakuwa zito kuupdate mana watu wengi watakuwa playstore.
Ili game limenifanya nimekuwa un productive for 3 Months hakuna cha maana nimefanya😃😃Majobless 😂
😂 ushakuwa mlevi wa gameIli game limenifanya nimekuwa un productive for 3 Months hakuna cha maana nimefanya😃😃
Huwa nina tabia la kulichoka game sasa hili naona bado😂 ushakuwa mlevi wa game
eFootball hakunaga kulichoka kuna kupumzika tu. Kuna siku utalikuta tu limerudi kwenye simu😀Huwa nina tabia la kulichoka game sasa hili naona bado
Nikishapata kikosi nitapunguzaeFootball hakunaga kulichoka kuna kupumzika tu. Kuna siku utalikuta tu limerudi kwenye simu😀
Sema wengi mchana sio sana. Ila usiku Naweza rudi gheto saa 7 lakini lazima nitumie saa moja kwenye game😃Nikishapata kikosi nitapunguza
Ukikutana na vipigo vya mbwa koko unalud kutulia zako😃😃Sema njia nzuri ya kuacha kucheza hili game ni kwenda kucheza eFootball league, utakutana na frustration ambazo haujawahi kukutana nazo😃
Ukitoka hapo mood yote imekata unapumzika week bila kugusa😀
Nashinda idle sana siku hizi kwahiyo ni games tuu siku nzimaSema wengi mchana sio sana. Ila usiku Naweza rudi gheto saa 7 lakini lazima nitumie saa moja kwenye game😃
Hutaki tena makosa ya kwa Bastoni😃😃Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB.
View attachment 3365605
Sijui ni Destroyer ila kutokana na hiyo skills hapo atakuwa ni Build up tuuBila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB.
View attachment 3365605
Hawa bi wa bure? Sija login badoBila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB.
View attachment 3365605
Siwezi kumuacha huyo winga wa edge crossing 😀Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB.
View attachment 3365605
NdiyoHawa bi wa bure? Sija login bado