Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,551
Ndio nalala hapaPoa, lala basi ๐
Ndio nalala hapaPoa, lala basi ๐
Safi sana.Ndio nalala hapa
Kaka ndio naamka hapa, Jana mapema.Safi sana.
Niliona ikabidi nikacheze events.Kaka jana mtandao ulivogoma nikapata request kwa mwingine hata nikasahau kabisa kurudi humu ๐
Sawa kaka umejitahidi, natumai hukukuweweseka maana siyo kawaida ๐Kaka ndio naamka hapa, Jana mapema.
Kaka hata Leo nita lala kabla ya saa 6, yaani laptop nili izima mapema ๐๐Sawa kaka umejitahidi, natumai hukukuweweseka maana siyo kawaida ๐
Huenda umepata mgeni wewe ๐Kaka hata Leo nita lala kabla ya saa 6, yaani laptop nili izima mapema ๐๐
Vijana wa siku hizi hamna adabu kudadadeki ๐ ๐Huenda umepata mgeni wewe ๐
Unajifanya unalala mapema kumbe umepata ugeni wa dharula ๐Vijana wa siku hizi hamna adabu kudadadeki ๐ ๐
Huenda umepata mgeni wewe ๐
ComradeKenge maji weeComrade
Shekhe nime lala mapema ka samaki, sitaki tabuUnajifanya unalala mapema kumbe umepata ugeni wa dharula ๐
Mbona umefungua code mkuu ๐Comrade
Sawa, hongera kwa kupata mgeni aliyekufanya ulale mapema kama samaki.Shekhe nime lala mapema ka samaki, sitaki tabu
Pre seoson njema.Nianze pre season hivi
Ungechagua korea mkuu.Baada ya ile Account yangu ya kwanza kuwa ya kiwaki nimeona nianze kutengeneza kikosi cha pili leo nikaamka asubuhi nikadownload zang moch cloner nikapata app ya pili nikaanza kutengeza kikosi...
Sikutaka kufanya makosa Region nimeweka Japan si haba kwenye kuspine nikapata Bergkamp ๐๐
Hapo nangojea jumanne nimchukue na nakata kazi ianze๐๐
Razorblade ๐ Jiandae nakuja mdogo mdogo na kikosi changu kipya ... Hichi ni kikali mno utakimbia kaka
Shukran za dhati ziende kwa Guilberto amenipiga tafu kupambana na events za Pvp ili nifike kiwango kinachotakiwa๐
View attachment 3345478