eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Baada ya ile Account yangu ya kwanza kuwa ya kiwaki nimeona nianze kutengeneza kikosi cha pili leo nikaamka asubuhi nikadownload zang moch cloner nikapata app ya pili nikaanza kutengeza kikosi...

Sikutaka kufanya makosa Region nimeweka Japan si haba kwenye kuspine nikapata Bergkamp 😃😃

Hapo nangojea jumanne nimchukue na nakata kazi ianze😃😃

Razorblade 👀 Jiandae nakuja mdogo mdogo na kikosi changu kipya ... Hichi ni kikali mno utakimbia kaka

Shukran za dhati ziende kwa Guilberto amenipiga tafu kupambana na events za Pvp ili nifike kiwango kinachotakiwa👏

View attachment 3345478
Leo niache tu bado nahasira na huyu refa wa leo 😂

Kwani ukinitag kwa herufi ndogo siwezi ona mkuu 😂
 
Yule refa mechi zote kubwa za Wabongo yupo 😂

Nakumbuka kipindi sisi Wanayanga tumehujumiwa goli letu mlimsifia sana mkaona kafanya la maana, leo kimewaramba na nyie 😂💔
Ile haikuwa fainali bhana ila leo ilikuwa fainali, haya mashindano tunashiriki tu ila mabingwa washaandaliwa 😂

Hakuna namna leo Berkane alikuwa hachomoki ila akaona aue middle yetu ili kurahisisha kazi mwehu yule 😂
 
Huyu refa ndo yule yule aliyechezesha ile fainali ya Shirikisho 2nd leg ya USM Alger v Yanga kule Algeria
Akachezesha tena Mamelodi v Yanga kule Pretoria 😵‍💫
Leo tena kaletwa kwa Wanasimba 😃

YAANI BADO HAMJASEMA
 
Kiukweli refa leo alikuwa upande wa waarabu.
Ila nyinyi mngeshinda leo sisi sura zetu tungeweka wapi?😅
 
Unamkatisha tamaa 😄 anaweza akawaza kufungua nyingine mpya leo leo tena huyo
1000092733.png

Bila picha ni uongo. Ashawaona wakorea😂
 
Back
Top Bottom