Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Epic ambaye namtaman hapo ni Kim min jae basi😃😃Unamkatisha tamaa 😄 anaweza akawaza kufungua nyingine mpya leo leo tena huyo
Epic ambaye namtaman hapo ni Kim min jae basi😃😃Unamkatisha tamaa 😄 anaweza akawaza kufungua nyingine mpya leo leo tena huyo
Hahahahaha!! Mwanae Intelligent businessman Scumbag The Mongolian Savage nishamzima tayar yupo kifungoni.
Nyau de adriz le nyambulet enuchiiHahahahaha!! Mwanae Intelligent businessman Scumbag The Mongolian Savage nishamzima tayar yupo kifungoni.
"Evil begets evil"View attachment 3345807
Gun man kama Gun man 😃😃😃🫵Hahahahaha!! Mwanae Intelligent businessman Scumbag The Mongolian Savage nishamzima tayar yupo kifungoni.
"Evil begets evil"View attachment 3345807
Ile ni rahisi sana kuamua kuwa kadi nyekundu mkuu, yote kwa yote huu ni uzi wa eFootball 😂Kwa hiyo unataka kusema card nyekundu ya kagoma haikuwa halali?
Domo zito kilo 150 😂Dah nime kutana na pisi Kali, tume ishia kuangaliana tu.
aisee kudadadeki, 😂 😂.
Twende room kaka tukajipoze machungu ya simba😃😃Domo zito kilo 150 😂
Dah nime kutana na pisi Kali, tume ishia kuangaliana tu.
aisee kudadadeki, 😂 😂.
Nilikuwa najipoza machungu na series “My Country”Twende room kaka tukajipoze machungu ya simba😃😃
Me ndo natoka room...
Usitishike mkuu wengine ni account za kununua unakuta tayari zipo dvn 1 😂, ila wako moto sana mule 😂Me ndo natoka room...
Aseee group lenu mbona kila mtu ana badge ya division one 😃😃🫵
Spin hapo umchukue huyo Peter Schmeichel kipa bora eFootball 🥶
Walaa haikuwa friendly occasionDomo zito kilo 150 😂
Kaka nili lala mapema