eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Haha nampiga Deep Line ili nikufunge vizuri kabisa 😂 beki zako zikifocus na huyo unakuwa umeuponza
Box to Box mweke AMF mzee😃😃


Me nimechoma coin zote maana ningempata kwa mfumo wangu anafaa sana akikaaa na Pedri pale uwanja mzima wanazunguka afu wanapishana kabisa akiwepo huku Pedri unakuta Mwingine yupo kule 😃😃😃
 
Napenda mademu wa kiarabu walioko mwanza, sio hao wana vyuo wa telegram 😂😂
😃😃😃Kaka na watoto wa kiarabu
images (1) (4).jpeg
 
Back
Top Bottom