Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,068
- 95,671
Hamna kitu hapa, kikosi chote hiki na haushindi😂Yangu after kumchukua OdoView attachment 3343652
Hamna kitu hapa, kikosi chote hiki na haushindi😂Yangu after kumchukua OdoView attachment 3343652
Single movie?, lazima latest? maana siku hizi za kiwaki😂Nataka nitafute movie moja nimalize nayo weekend nipe list ya mbil tatu latest
Mnipe pole kwanza kabla sijaanza kusimuliaView attachment 3343651
Coin 600 shwaa kwa Sablozai na nimetoka hola nimepewa wote standsrd🤣🤣🤣
Oya unatumia mitishamba nini?
Nendeni kwenye uzi wa series na movies huko msituchanganyie madawa 😂Sijui kwa nini movie za miaka ya nyuma nakuwa mgumu kuangalia iwe ya 2025 season or single.
Watu wa aina hii huwa sina msaada nao, labda awe ke😂🤣Sijui kwa nini movie za miaka ya nyuma nakuwa mgumu kuangalia iwe ya 2025 season or single.
Nina mjomba KONAMI.😂 Angalia hapo hata sikuwa na coins za kutosheleza, wamenipa zile zao 100 kuweka tu shwaa nashangaa mataa mengi 😂😂😂Oya unatumia mitishamba nini?
😂
Huyu anatumia dawa za kienyeji bhana 😂Dadeq trick gani unatumia mkuu😂 share na sisi nina hasira na wewe mkuu🤕😂
Kismati kimenikubaliKabisa haiwezekani awe na bahati hivo
Usiseme ke sema comrade wako 😂Watu wa aina hii huwa sina msaada nao, labda awe ke😂🤣
Hapo sikutumia trick yoyote kaka 😂Dadeq trick gani unatumia mkuu😂 share na sisi nina hasira na wewe mkuu🤕😂
Kuna huyu wakumuita Selikavu hata wampe coins debe zima ataambulia magoroka tu 😂Nina mjomba KONAMI.😂 Angalia hapo hata sikuwa na coins za kutosheleza, wamenipa zile zao 100 kuweka tu shwaa nashangaa mataa mengi 😂😂😂
Hana bahati kama mimi tu lakini hakomi, unapoteza coins 600 na hushituki 😂Watani tuwaache