Hata mimi huyo jamaa nilikuwa namtaka ila nimeona huu mtego coins zangu zitaenda bure ila yeye sasa anajikuta Guilberto 😂😂😂😂😂Na bado haelewi
Anataka kuwazoea vibaya 😂Anawaona konami wachumba😂
Kaka nini shida ?, aisee si comrade wangu tu.😁😂Usiseme ke sema comrade wako 😂
Leo mniombee kama sijafuta hili game sijui 🤣🤣🤣maana tangu asubuhi lishanikera😃😃😃Kwakua ni za bure, haya endelea kuzimaliza halafu ije pack nzuri uwe huna coins 😂
Anapiga sana kaziSasa kwani huyo Tony anacheza nafasi zote 😂
Pole Mkuu🙌Mimi kwa son nimepoteza nyingi tu🤕
I Install game au azima account ya mtu tukacheze😃😃Hamna kitu hapa, kikosi chote hiki na haushindi😂
I feel like i need to uninstall something 🤣🤣🤣
Sawa 😂Kaka nini shida ?, aisee si comrade wangu tu.😁😂
Comrade Joanah na sisi tucheze game ?Usiseme ke sema comrade wako 😂
Nafuta game simple yan badala ya kupata Starehe napata msongo wa mawazo🤣🤣Hana bahati kama mimi tu lakini hakomi, unapoteza coins 600 na hushituki 😂
Booster imemuongezea kitu.Anapiga sana kazi
Kenge haelewi mpaka atoke damu😃😃😂😂😂😂Na bado haelewi
Na huku umemuita aisee, kazini kuna kazi 😂Comrade Joanah na sisi tucheze game ?
Kaka hapana hii ya leo imeuma🤣🤣Pole na wewe.