Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Chezea simu yangu unavyoweza ila usicheze na hiyo app 😂
Chezea simu yangu unavyoweza ila usicheze na hiyo app 😂
Siku ya leo kama itapita sijafuta hili game sijui... Maana hata sina mzuka nalo tena😃
Jeuri hiyo hana bhana asituchoshe 😂Huwezi futa na ukifuta kesho unalo tayari😂
Haitanisumbua kurudisha account ila hela ya hizo GB2 pamoja na hela ya usumbufu iwe pembeni(aindae) 😂Hatari sana😂
Hatari tupu 😂Hapo atulie tu basi. Mimi kuna siku nakuwa na stress naingia kwa gane ili kutoa cha ajabu zinazidi tu😂
Poa tutagusa.Baadae tupashe maan kitambo
Yan wewe ndo unanitia hasira
Ukifuta eFootball lazima urudishe. Sema itakuuma pale gb 2 zitakapoliwa tena na penalty ulikuwa upigi baada ya kufuta game😅Siku ya leo kama itapita sijafuta hili game sijui... Maana hata sina mzuka nalo tena😃
Ukisimama nchale ukikaa nchaleUkifuta eFootball lazima urudishe. Sema itakuuma pale gb 2 zitakapoliwa tena na penalty ulikuwa upigi baada ya kufuta game😅
Mwanangu sana yuleNa huku umemuita aisee, kazini kuna kazi 😂
Nawauliza wakongwe kwanza kama anafika 100+ huyo nijichange.Yan wewe ndo unanitia hasira
Coin zilikuwa zake huyu 😃😃😃
Magame yake yatakuwa yale aina ya candy crush saga.Mwanangu sana yule
Mwamba unatumia tunguli za babu kuspinðŸ¤
Kutoka 95 mpaka 102🤣
Ndo nimeshangaa maana nimezoea kuona zikiongezeka point 4 tu.Kutoka 95 mpaka 102🤣