Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Haha mbona unajua sana tu mkuu.. mi labda nakuzidi pasi tu 😂Sio kama sitocheza kama Razorblade muoga muoga me nitaendelea kukutafuta mzee😃😃mpaka nijue game...
Haha mbona unajua sana tu mkuu.. mi labda nakuzidi pasi tu 😂Sio kama sitocheza kama Razorblade muoga muoga me nitaendelea kukutafuta mzee😃😃mpaka nijue game...
Ni safi tu Rais 😂Oya ma jobless niaje 😁
Mheshimiwa Aikaeli kwema kabisa kakaOya ma jobless niaje 😁
Hizo pasi mzee kama unatumia padi hukoseiHaha mbona unajua sana tu mkuu.. mi labda nakuzidi pasi tu 😂
Yangu after kumchukua OdoKumbe collective strength yangu imepanda aisee ila hiyo siyo muhimu sana kwangu 😂
View attachment 3343481
View attachment 3343483
Naona kumekucha, usingizi mtamu sana kudadadeki 😂Ni safi tu Rais 😂
Pole kwangu hupati maana nishakuonya 😂Mnipe pole kwanza kabla sijaanza kusimuliaView attachment 3343651
Coin 600 shwaa kwa Sablozai na nimetoka hola nimepewa wote standsrd🤣🤣🤣
Hizo CB ningezipata mimi aisee ingekuwa unyama sana.Yangu after kumchukua OdoView attachment 3343652
Unausifia usingizi wa masaa matatu 😂Naona kumekucha, usingizi mtamu sana kudadadeki 😂
Tamaa mbaya kijana😃😃Hizo CB ningezipata mimi aisee ingekuwa unyama sana.
Kwakua ni za bure, haya endelea kuzimaliza halafu ije pack nzuri uwe huna coins 😂🤣🤣🤣Sikomi kenge hasikii mpaka atoke dam in NEGAN Voice
Sasa kwani huyo Tony anacheza nafasi zote 😂Tamaa mbaya kijana😃😃
Si una tony Adams kabisa
Wacha zako 🤣Unausifia usingizi wa masaa matatu 😂
Mimi kwa son nimepoteza nyingi tu🤕Mnipe pole kwanza kabla sijaanza kusimuliaView attachment 3343651
Coin 600 shwaa kwa Sablozai na nimetoka hola nimepewa wote standsrd🤣🤣🤣
Gud kabisa kakaFresh, heshima yako Raisi