eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Haya kaxi ianzie hapa, kama mbwai mbwai tu 😂
Hii tumeikataa wanaoneana huruma alafu wote wana mpira unafanana kias japo Guilberto ni Possession game


Kutana na Mill broh mzee game imeanza tuu unawashiwa Full blue bars kwanza na possession game yako lazima ukimbie😃😃😃
 
Back
Top Bottom