Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
Matokeo yaletwe kama kawaida 😂Uje tupige ya kulalia mkuu😂 Ubaya Ubwela
Matokeo yaletwe kama kawaida 😂Uje tupige ya kulalia mkuu😂 Ubaya Ubwela
Pamoja.Mwezi ujao mkuu nitafanya hivo bado siku cache tuu.
alright acheche production tunakuletea Mr.....Na wewe anakufaa nani?
😂
Me nipo na Razorblade mpka ateme nyongo🤣🤣
Mr Devil 😂
Tupande kama vipi 😃Uje tupige ya kulalia mkuu😂 Ubaya Ubwela
Yule mwamba ana tambo balaa atamtia hasira mzee Negan🤣🤣Nimecheka kifala 😂
Uanze kunihurumia sasa unanitesa sana 😂Me nipo na Razorblade mpka ateme nyongo🤣🤣
Na akaikataa account yake 😂Yule mwamba ana tambo balaa atamtia hasira mzee Negan🤣🤣
Sema sasa ishu inakuja hamna watu active sana humu itachezeka kweli? Tunaochati kila siku tushakaririana labda atengeneze group Whatsapp liitwe kama humuSisi tunasubiri utuandalie ligi tu humu 😂
Kumbukumbu ninazo za kila kitu humu😃😃😃Mzee unachimbua 😂😂😂💔 sema mi game za kukamiana siziwezi labda ujae mwenyewe kwenye mifumo tu
Itachezwa tu hata ikiwa ya watu 5 muda wetu unakuwa kuanzia saa 4.Sema sasa ishu inakuja hamna watu active sana humu itachezeka kweli? Tunaochati kila siku tushakaririana labda atengeneze group Whatsapp liitwe kama humu
Ngoja aje.Huyo Mr 😈 🤣🤣
Eeh na mpira wako wa kupanga ni good opponent kabisa huyoMi aliona kabisa ile mechi nimempania nashangaa 2-2 zile blue bars zooote zikashuka haha
sema jamaa anacheza mpira wa kutafuta matokeo. Hana huruma.. 😂🔥
Muasisi kafungua uzi 2023 umekuja kuchangamka 2025 kwakeel usimkatie mtu tamaa🤣🤣🤣Kesho tupashe mkuu, Muasisi wa uzi huu
Me nimeingia ukiwa na pages kama sio 20 ni kumi naa...Uzi unatembea sana sasahivi kwenye trending za siku unaukuta, kongole kwake.
Nature yako mkuu ndo upo hivyo hata Edo kissy mtacheza basi tuu...