Nakuambia hivi wewe umeisha mkuu bora nisingeijua hii formation 😂Umenisumbua kwa sababu bado nilikuwa na mentality ya possession game za before...
Kwamba mie hukuona nachofanya kwenye eneo lako au ulivaa miwani ya mbao, huu mfumo umenipa utulivu mechi za mwisho 😂Afu kumbuka nimekosa sana magoli leo😴
😃😃Kuna moja umepiga nje nilicheka sana🤣🤣🤣Kwamba mie hukuona nachofanya kwenye eneo lako au ulivaa miwani ya mbao, huu mfumo umenipa utulivu mechi za mwisho 😂
Nataka nione maana mill broh nimemfunga kwa possession game nataka nione alitokaje na mwenye mchezo wakeHuo mstari wa mwisho ndo muhimu 😂
Katika mechi 3 za mwisho 2 ndo nimeona nimecheza na kutoa ushindani ila hii LBC sijui kwanini haitaki kukaa wakati ndo nilianza nayo game 😂
Na niliipania mechi sikutaka kuwa mchovu kama zile 2 za mwanzo 😂🔥 ilikuwa inaniuma unavyoyarudisha 😄Haina noma mtaalam sema ile come back. Aiseee kila nikizuia inashindikana😅
Wewe LBC huwezi hutumii long balls me ningekuwa na kocha ningekuoneshaKatika mechi 3 za mwisho 2 ndo nimeona nimecheza na kutoa ushindani ila hii LBC sijui kwanini haitaki kukaa wakati ndo nilianza nayo game 😂
Nilijaribu 😂😃😃Kuna moja umepiga nje nilicheka sana🤣🤣🤣
Taaratibu utakuwa mpiga nje wewe😃😃Nilijaribu 😂
Hamna jamaa mzuri mno anajua kufunga kishenz na anatumia smart assist kukosa goli kizembe kwake ngumu..Umekutanan na full bars blue 😃😃😃
Sitaki LBC ya kutumia ndege nataka LBC ya pasi za chini.Wewe LBC huwezi hutumii long balls me ningekuwa na kocha ningekuonesha
Nikianza kupiga nje ntakuua 😂Taaratibu utakuwa mpiga nje wewe😃😃
Matokeo bila picha ni uzushi.Hamna jamaa mzuri mno anajua kufunga kishenz na anatumia smart assist kukosa goli kizembe kwake ngumu..
nimekula mkono mara 2 😂😂🔥
Nimetuma hahaMatokeo bila picha ni uzushi.
Eeh imekuaje tena😃😃😃Hamna jamaa mzuri mno anajua kufunga kishenz na anatumia smart assist kukosa goli kizembe kwake ngumu..
nimekula mkono mara 2 😂😂🔥
😃😃😃Okay sawa kakaSitaki LBC ya kutumia ndege nataka LBC ya pasi za chini.