eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Huyu ni Selikavu kabisa 😂
Dah😃
GqU9wjfWAAAKMjW.jpeg
 
Hii tumeikataa wanaoneana huruma alafu wote wana mpira unafanana kias japo Guilberto ni Possession game


Kutana na Mill broh mzee game imeanza tuu unawashiwa Full blue bars kwanza na possession game yako lazima ukimbie😃😃😃
Mi aliona kabisa ile mechi nimempania nashangaa 2-2 zile blue bars zooote zikashuka haha

sema jamaa anacheza mpira wa kutafuta matokeo. Hana huruma.. 😂🔥
 
Back
Top Bottom