eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hizo fedheha sio poa 😂 unaanza na kufundishwa game hapo hapo 'kaza kaza game unajua mwanetu', 'jifunze kukaba', 'usipigepige mashuti tu', ' tunza coins uchukue kocha wa Quick' ...😂😂
Admin wa hilo group sasahivi analalamika anapigika hovyo na anasema hajawahi kukutana na hiyo hali hadi anataka kuacha kucheza game 😂
 
Kuna wale ambao akituma code ukipita nayo akikufunga anarudi na screenshot halafu anaweka na ujumbe 😂
Si ndo huyo jamaa aliyenifunga akanifata inbox kuniuliza kama nashindga game yoyote ile...

Sema yupo group nyingine jamaa day one kanifunga akapost watu wakamuuliza league akasema friendly wakamshangaa😃😃
 
Em screenshot jina la hilo group huenda nimo 😄
IMG-20250522-WA0116.jpg
 
Si ndo huyo jamaa aliyenifunga akanifata inbox kuniuliza kama nashindga game yoyote ile...

Sema yupo group nyingine jamaa day one kanifunga akapost watu wakamuuliza league akasema friendly wakamshangaa😃😃
Friend match hawazingatii sana ils ukipigika kwenye ligi sass ndo utajua hujui 😂
 
Hawawezi vita waliobakia wote watu poa me na wewe ndo team vita

Iv unashabikia team gan epl kama sio Chelsea wewe basi ni Arsenal 😃😃😃
Ligi ya epl haipo damuni kwahiyo hata sina timu ila we jua timu ambayo siipendi kuliko zote epl ni Man U, mimi na wewe vita yetu ipo hispania tu 😂
 
Back
Top Bottom