Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Haha 😂 mnawajua wote mnipe wa saizi yangu
Haha 😂 mnawajua wote mnipe wa saizi yangu
Mtu akiazima kikosi ujue anabattle na mtu hapo wamewekeana hela 😂Hahaha, ndo kiburi chetu wengi 😂 afu mchezo wa kuazimana vikosi sana
League mzee watu wanakamia balaa kwel hela ya mtu hailiwi bureFriend match hawazingatii sana ils ukipigika kwenye ligi sass ndo utajua hujui 😂
Halafu kuna hao wakenya wanasifa sana sijui wanahack hadi game maana wanaponda hatari 😂
😃😃 Kombe pekee mmeshinda msimu huu ni kumssupport inter milan tuu😃😃Ligi ya epl haipo damuni kwahiyo hata sina timu ila we jua timu ambayo siipendi kuliko zote epl ni Man U, mimi na wewe vita yetu ipo hispania tu 😂
Hela ya boom huwezi Jenga mzee nunua kikosi😃😃Halafu humo nikiangalia aslimia kubwa ni wanafunzi wa chuo ndiyomaana wanachezea pesa za boom kununua vikosi 😂
Hizi derby zinakuja tu automatic
Na tumefanikiwa 😂😃😃 Kombe pekee mmeshinda msimu huu ni kumssupport inter milan tuu😃😃
Wakenya ndo ajira hiz mzee😃😃Halafu kuna hao wakenya wanasifa sana sijui wanahack hadi game maana wanaponda hatari 😂
Nimetuma request nasubiria kukubaliwa.. ila nimeona kwa juu pale masela zangu zaidi ya 7 wapo mule haha
Tunakuwakilisha RaisMa jobless pro max kwenye Moja na 2
Mheshimiwa Aikaeli Intelligent Businessman heshima kwako mwenyekiti 😃Ma jobless pro max kwenye Moja na 2
Hamna zipigwe mechi kwanza 😂Hizi derby zinakuja tu automatic
Ila huyu na Negan kama inakuja kuja hivi 😃😃😃