Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Ndiyo na mpaka muda huu inaonyesha hivyo na nishatuma mualiko kama mara 3 hivi.Mbona sikuwepo online ilikuwa inaonekana nipo online kwan kaka??
Ndiyo na mpaka muda huu inaonyesha hivyo na nishatuma mualiko kama mara 3 hivi.Mbona sikuwepo online ilikuwa inaonekana nipo online kwan kaka??
Mkuu kama tayari tuma invite twende.Mkuu nini tena kimetokea😀
Nilikua nipo na Gilberto nahisi kaishiwa bandoUpo twende
Sikufunga app wakati natoka maana niliweka simu chaji nikaenda kula na data nilikuwa nimezimaNdiyo na mpaka muda huu inaonyesha hivyo na nishatuma mualiko kama mara 3 hivi.
Nenda na Razorblade mkimaliza kama mtakuwa na energy me nipoNilikua nipo na Gilberto nahisi kaishiwa bando
Tumejaribu naye mara 2 imegoma ku connect itakua Voda yangu ina shida leoNenda na Razorblade mkimaliza kama mtakuwa na energy me nipo
Tuma invite mkuuNilikua nipo na Gilberto nahisi kaishiwa bando
Tuma tena invite.Tumejaribu naye mara 2 imegoma ku connect itakua Voda yangu ina shida leo
Kaka hii voda siielewi leo eti hapo data zipo on afu sioni 4G, em twende tena nilizima simu na kuwashaMkuu nini tena kimetokea😀
Ngoja tujaribu tenaTuma tena invite.
Niliiona nikakuonea huruma nikatoa mawinga 😂 ningekushambulia sana leo sema tu nikaamua kubalance nisishambulie kwa pembeni nipitie hapo hapo kati kwa hizo beki zako
Ule mfumo wa beki 3 mara nyingi nikifungwa haizidi 1 bila 😂 mana duh huwa napata uhuru sana wa kushambulia.Niliiona nikakuonea huruma nikatoa mawinga 😂 ningekushambulia sana leo sema tu nikaamua kubalance nisishambulie kwa pembeni nipitie hapo hapo kati kwa hizo beki zako
Shambulia pembeni mkuu nataka nionje sumu kwa kijiko😀Niliiona nikakuonea huruma nikatoa mawinga 😂 ningekushambulia sana leo sema tu nikaamua kubalance nisishambulie kwa pembeni nipitie hapo hapo kati kwa hizo beki zako
Twenzao ka upo freeShambulia pembeni mkuu nataka nionje sumu kwa kijiko😀
NakujaTwenzao ka upo free
Mbona haufiki?Nakuja