Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
Pale kwenye free spin yeyote aje tu maadam nishafanya maamuzi namchukua mchezaji gani kwenye selection.Me pale naomba wanipe Nakata ama odo kwa sasa😃😃😃
Pale kwenye free spin yeyote aje tu maadam nishafanya maamuzi namchukua mchezaji gani kwenye selection.Me pale naomba wanipe Nakata ama odo kwa sasa😃😃😃
Taarifa za usajili za Santos ni siri sana 😂Hiyo ni shortlist yako ila owen ndo ana chance kubwa😃😃
Speed isiwe kikwazo, Rodri anamazuri mengi mbona.Ninaye speed inasoma 59😃😃😃 simtaki
Kuwa na machaguo mawili mzeePale kwenye free spin yeyote aje tu maadam nishafanya maamuzi namchukua mchezaji gani kwenye selection.
Sasa kwenye free spin si yeyote wanakupa tu.Kuwa na machaguo mawili mzee
Taarifa za usajili za Santos ni siri sana 😂
De jong ananipigia kazi nzuri sanaSpeed isiwe kikwazo, Rodri anamazuri mengi mbona.
Unaweza ukapewa owen kama mimi mzee😃😃Sasa kwenye free spin si yeyote wanakupa tu.
Hii edit imenichekesha sana😃
Huyu msimu huu nipo nae napiga kote kote😃😃😃ndani na nje ya uwanja mpaka aludi form atakuwa ameiva😃😃Hii edit imenichekesha sana😃
😃😃😃Moyo me sina nikiamka na vibe langu Odo huyo 😃😃KAUSHAURI KIDOGO🙃.. JAPO NAJUA HAMNA UVUMILIVU NYIE 🤣
View attachment 3342411
Mimi Oddo namuangalia tu mana tayari ninae Belleti 😄😃😃😃Moyo me sina nikiamka na vibe langu Odo huyo 😃😃
Kwenye hii umepata epic mbili mpaka sasa??Mimi Oddo namuangalia tu mana tayari ninae Belleti 😄
Nakata nimempata 2nd acc duh nilitamani sana ningempata ile acc niliyozizoea
Kwenye hii umepata epic mbili mpaka sasa??
Aisee no comment 😃View attachment 3342428
Nina account mbili, kuna hii acc niliianzisha January ina upepo mno kwenye kupata wachezaji. View attachment 3342430
Nimepata watatu, hapo ile selection contract siitumii kwanza mpaka nimalize spins zote hahahaAisee no comment 😃
Hapo unaweza kusafusha wote😃Nimepata watatu, hapo ile selection contract siitumii kwanza mpaka nimalize spins zote hahaha
Upepo ukinikubali tena 😄Hapo unaweza kusafusha wote😃
😂🙌🏿View attachment 3342428
Nina account mbili, kuna hii acc niliianzisha January ina upepo mno kwenye kupata wachezaji. View attachment 3342430