eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hii trick sijaitumia kabisa ila naona inafanya kazi...

Ukigusa mchezaji kwenye spine haji.


Na wewe huwa unafanya hivyo??
Wale watatu wa juu, Gabi, Owen na Berkampt huwa ndo na-deal nao sana nagusa hata mara 20 hivi 😄 nikiingia pale kwenye all players na-rotate au na sort by position, value afu nawarudia tena wale wa juu..

Ndo ulikuwa uchawi wangu
 
Back
Top Bottom