eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hapa wameniramba coins 200 kwaajili ya Kounde tu 😂
IMG-20250522-WA0082.jpg

Ila kwa siku ya leo sina baya na Konami maana wamefanya nifanikishe kupata selection booster za kutosha na kuwajaza wahitaji.
IMG-20250522-WA0081.jpg

IMG-20250522-WA0083.jpg

Na bado zimebaki booster kwaajili ya usajili mpya kutoka kwenye selection contract.
IMG-20250522-WA0080.jpg

Je ni nani atasajiliwa kujiunga na kikosi cha Santos Fc?

Tuendelee kusubiri 😂
 
Hapa wameniramba coins 200 kwaajili ya Kounde tu 😂
View attachment 3342055

Ila kwa siku ya leo sina baya na Konami maana wamefanya nifanikishe kupata selection booster za kutosha na kuwajaza wahitaji.
View attachment 3342058
View attachment 3342060

Na bado zimebaki booster kwaajili ya usajili mpya kutoka kwenye selection contract.
View attachment 3342065

Je ni nani atasajiliwa kujiunga na kikosi cha Santos Fc?

Tuendelee kusubiri 😂
Wewe ni Owen ukibadilika sana ni nakata😃
 
Me ngoja niendelee na safari ya kutafuta 1500 nimchukue huyo kocha wa Ubelgiji...

NEGAN mkuu ukiipitia hiyo pack utanipa mrejesho ni pack nzuri ama niachane nayo...

Ina Anchorman pale mzee wa kazi Onana... Napia kadi ya KDB bado kuna card ya openda na Romelu Lakaka😃
 
Mashuti ya Nakata nje ya box weka mbali na watoto🙌🙌 dizaini KONAMI wanawapendelea wachezaji wa ki JAPAN
 
Me ngoja niendelee na safari ya kutafuta 1500 nimchukue huyo kocha wa Ubelgiji...

NEGAN mkuu ukiipitia hiyo pack utanipa mrejesho ni pack nzuri ama niachane nayo...

Ina Anchorman pale mzee wa kazi Onana... Napia kadi ya KDB bado kuna card ya openda na Romelu Lakaka😃
Achana nayo subiri anchorman mzuri Tchouameni
 
Me ngoja niendelee na safari ya kutafuta 1500 nimchukue huyo kocha wa Ubelgiji...

NEGAN mkuu ukiipitia hiyo pack utanipa mrejesho ni pack nzuri ama niachane nayo...

Ina Anchorman pale mzee wa kazi Onana... Napia kadi ya KDB bado kuna card ya openda na Romelu Lakaka😃
Wewe matamanio yako ni kocha wa booster 2 tu hata wasingekuwepo hao uliowataja 😂

Tafuta coins kwaajili ya kuimarisha kikosi kwanza achana na makocha 😂
 
Back
Top Bottom