eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hii ukiingia na roho ya kuuza niuzie😃😃😃

Anchorman wangu Sergio wa 105 aje yoyote yule anakalishwa
Hahaha huyo jamaa alikuja ile mwaka mpya, kuna zile spin ya bure nilipewa kuweka tu nashangaa mwamba huyo.. hapo kati mzuri sana naweza hata kucheza beki 3 hicho kikosi na mana hapo kati ni wa moto 😄🔥
 
Back
Top Bottom