Labda unajiuzia mkuu😂💔🚮Wakuu kikosi hiki kinauzwa 3k, nipite nacho?
View attachment 3333534
Jamaa hajanijibu bado, kama yuko serious nitakuja waonyesha 😂Labda unajiuzia mkuu😂💔🚮
starehe zangu kula, kuangalia movie na kucheza game 😆 😂😂🙌🏿Wanaupiga mwingi
Kaka me nipo hapa naongeza dau tuu😃🤣🤣Jamaa hajanijibu bado, kama yuko serious nitakuja waonyesha 😂
Oya hizo Gun unyama sanaUsintishe
View attachment 3333275
Nikisha kata hiyo mikono, hizo gun ni sawa na bureOya hizo Gun unyama sana
Ngoma zipo kwenye PUBGOya hizo Gun unyama sana
Kijana wangu Selikavu kapige huyuNani yupo online tukatest formation yangu mpya ya all out attacking. Ila beki sasa ni uchochoro ukinifunga uwe na huruma😀View attachment 3334014.
Mkuu umejilipua 😂Nani yupo online tukatest formation yangu mpya ya all out attacking. Ila beki sasa ni uchochoro ukinifunga uwe na huruma😀View attachment 3334014.
Kaingia kwangu ngoja anifunge kwanza atakuja 😂Yupo nimemtumia requesr😀
ana kuja, usi kimbie😂😁Yupo nimemtumia requesr😀
Ngoja nifungwe na Selikavu kwanza mkuu.Razorblade kama upo free twende
Niliona umeingia alafu ukatoka...Nani yupo online tukatest formation yangu mpya ya all out attacking. Ila beki sasa ni uchochoro ukinifunga uwe na huruma😀View attachment 3334014.
Mkuu wewe ndo umenipelekea moto aisee 😂Niliona umeingia alafu ukatoka...
Akaja jamaa angu aliyekuwa likizo
Kanipelekda moto😃😃