Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Mkuu weka tu matokeo 😂Matokeo utapost wewe leo sina muda😃😃😃
Mkuu weka tu matokeo 😂Matokeo utapost wewe leo sina muda😃😃😃
Me binafsi nipo hoi mkuu labda Razorbladeleta code na makala yako
Siweki leo😃😃😃Mkuu weka tu matokeo 😂
Kingine kinachokusaidia hao mabeki wako umewawika chini sana 😂Niliona umeiva asee😃😃
Kukaba striker watatu ni kazi mno
Amna leo nimezingua kukaba sanaKingine kinachokusaidia hao mabeki wako umewawika chini sana 😂
Aweke username tu mwenyewe nipo taabani, mechi za leo nilikuwa nataka iwe tie na imekuwa hivyo.
Ushaanza kuludi kunisumbua😃😃😃Aweke username tu mwenyewe nipo taabani, mechi za leo nilikuwa nataka iwe tie na imekuwa hivyo.
naweka akat mpo hoiUshaanza kuludi kunisumbua😃😃😃
Kitu nachokosa mimi ni mechi za mara kwa mara mkuu, ni ngumu kuwa kwenye ubora wako ukiwa huchezi friend match nyingi.Ushaanza kuludi kunisumbua😃😃😃
Weka username tukutumie request mkuu mechi tutacheza tu maadam tayari tutakuwa friends.naweka akat mpo hoi
Kukikucha ni siku pia Kakanaweka akat mpo hoi
Magemu kama unajua unajua tuu haina haja ya kucheza mara kwa maraKitu nachokosa mimi ni mechi za mara kwa mara mkuu, ni ngumu kuwa kwenye ubora wako ukiwa huchezi friend match nyingi.
Kuna mechi kipindi cha pili nilimuweka Rodri aisee nimeona kazi yake imetukuka.Kukikucha ni siku pia Kaka
finest cruiseWeka username tukutumie request mkuu mechi tutacheza tu maadam tayari tutakuwa friends.
Huwa naona hata kwenye WhatsApp groups wanalalamika upepo mbaya ni kipigo tu 😂Magemu kama unajua unajua tuu haina haja ya kucheza mara kwa mara
Poa request zitakuja huko.finest cruise
saizi auPoa request zitakuja huko.
Nakutumia request tu mkuu mechi hata kukikucha zitachezwa.saizi au
Okay nimekupata, kiongozi.Nakutumia request tu mkuu mechi hata kukikucha zitachezwa.
Niliona nikasema kwel leo unajiamini😃😃Kuna mechi kipindi cha pili nilimuweka Rodri aisee nimeona kazi yake imetukuka.