eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nimegundua jinsi ya kukufunga

Sitakiwi kucheza mpira mzuri dhidi yako kutumia mawinga sijui nini. Pia sitakiwi kupoteza mpira kati kati ya uwanja maana ukiupata mpira kati kati pedri/ De jong anapiga through ball moja kwa Torres/Mbappe/Owen kisha wana turn then boom😀.

Solution ni kutumia mipira mirefu na through ball kwa ma forward wangu pia ku overload forward kwa kutumia striker watatu ambao huwezi ku wa mark wote.
Anachonikera mimi yani yeye akilitazama goli tu anapiga shuti 😂
 
Nakushauri cheza formation kama yake 4222 ni formation nzuri sana ime balance kwenye kuzuia na kushambulia
Anaiponda huyo hawezi cheza....


Sema hata formation aliyoweka saiv ni kama yako uliyosema utakuja nayo zidi yangu una overload forward wengi pale mbele anakuwa na CF wawili na Ss mmoja
 
Back
Top Bottom