Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Kuna kale kajapan naona kama ananifaaZile beki wanasema za kawaida we angalia kwa viungo.
Kuna kale kajapan naona kama ananifaaZile beki wanasema za kawaida we angalia kwa viungo.
Kesho kutwa utapata epicWananizingatia sana aisee, hawana huruma na mimi 😂
Mvumilivu hula mbivu 😂Tafuta beki za kueleweka kaka oooh🤣🤣🤣
Unataka Uoe 🤣Kuna pisi ina zagaa zagaa
Yule mtu.Kuna kale kajapan naona kama ananifaa
Hii sasa mvumilivu atakula mkono😃😃Mvumilivu hula mbivu 😂
Niache tu 😂Kesho kutwa utapata epic
Ndo nawaza nimchukueYule mtu.
Ahh we kataa ndoa, namaanisha pisi ni deal boya weeUnataka Uoe 🤣
Mitano tena 😂Hii sasa mvumilivu atakula mkono😃😃
Me nakupa upako kaka unakataaNiache tu 😂
Sawaaa injury itakuwa off🤣Nitakuwa tayari kula nyekundu 😂
Mwenyekiti Aikael Intelligent unafukuzia pisi kaka😃😃hakuna dili wala niniAhh we kataa ndoa, namaanisha pisi ni deal boya wee
Mtoto huna adabu ehh, 😁 😂Mwenyekiti Aikael Intelligent unafukuzia pisi kaka😃😃hakuna dili wala nini
Nipe Id yake basi nimfate PM nikakupigie Promo😃😃😃Mtoto huna adabu ehh, 😁 😂
aisee nina panga jipya hapa, cc nyau de adriz.Nipe Id yake basi nimfate PM nikakupigie Promo😃😃😃
Usintishe
Sasa mikono Nisha kata, sijui uta tumia nini?Usintishe
View attachment 3333275
Unamfahamu Oliver Khan Mikono mia😃😃Sasa mikono Nisha kata, sijui uta tumia nini?
kaangalie six flying dragons uone uwezo wa panga ndio uta jua hujui.Unamfahamu Oliver Khan Mikono mia😃😃