Nimeiona ila nimechuna 😂Negan alishatoa mbinu pale juu kama imekupita ndo basi tena
3k?? Au 30kWakuu kikosi hiki kinauzwa 3k, nipite nacho?
View attachment 3333534
Kumbe ushachukua notes🤣Nimeiona ila nimechuna 😂
3k bhana 30k kwa kikosi gani sasa 😂3k?? Au 30k
Hapana mkuu sijachukua kitu 😂Kumbe ushachukua notes🤣
Ni mtanzania?? Angalia namba anayotumia kama ya ni ya bongo...3k bhana 30k kwa kikosi gani sasa 😂
Sema nimemuuliza nasikilizia majibu.
Me najua huwezi kubali mzee🤣🤣Hapana mkuu sijachukua kitu 😂
Ni mbongo mkuu sichukui bila middle man(Admin deal)Ni mtanzania?? Angalia namba anayotumia kama ya ni ya bongo...
Ni mbongo mkuu sichukui bila middle man(Admin deal)
Mkuu hicho kikosi ni kidogo ila nikitaka kukichukua hapo lazima kuwe na mtu kati 😂Kaka ukipigwa nakuludishia elfu tatu yako... Hamna kikosi cha bei nafuu hvyo 😃
Simu sipo nayo karibu mkuu.Razorblade kama upo twende kaka😃
Kama kidogo kichukue me nitakinunua kwa elfu 10😃😃😃Mkuu hicho kikosi ni kidogo ila nikitaka kukichukua hapo lazima kuwe na mtu kati 😂
Sawaa kakaSimu sipo nayo karibu mkuu.
Ngoja akinijibu 😂Kama kidogo kichukue me nitakinunua kwa elfu 10😃😃😃
Nunua hata ukitapeliwa 3k ndogo sana😀Wakuu kikosi hiki kinauzwa 3k, nipite nacho?
View attachment 3333534
Mkuu kutapeliwa kunauma hata ikiwa shilingi 100, yaani ile hali ya kuhisi umetapeliwa inaumiza kuliko ulichotapeliwa 😂Nunua hata ukitapeliwa 3k ndogo sana😀
Baada ya kumsema sana Owen jana leo asubuhi View attachment 3333250dadeq daah🙌🏿