Hongera mkuu dilemma imeisha 😀Baada ya kumsema sana Owen jana leo asubuhi View attachment 3333250
Dah hongera sana.Baada ya kumsema sana Owen jana leo asubuhi View attachment 3333250
Sasa kwa beki gani nilizonazo hizi kumkaba Owen na Batistuta 😂Kwanza naanza kwa kumshukuru mama samia kwa kuniwezesha kumpata owen Asubuhi hii ya leo Mama anaupiga mwingi🤣🤣🤣🤣
Baadae nitakuja na mapambio ya kumsifia Owen
Namie kanimaliza 😂Hongera mkuu dilemma imeisha 😀
Huna hata Rice kwan kaka??Ni sub tu huyo 😂
Hakuna mchezaji ambae hana udhaifu mfano mzuri ni Batistuta na Owen 😂
Jana walizingua waoBasi huenda ilikuwa ni wao wenyewe tu.
😃😃Kwa namna mlivyomsema Batistuta embu ngoja nitulie kwanza😃😃 nifikirie card nyingine paleHongera mkuu dilemma imeisha 😀
Sina mkuu mie huwa hawanipi nachotaka sijui wanashida gani na mimi 😂Huna hata Rice kwan kaka??
Ungeendelea na msimamo wako wa kumsupport Batistuta over OwenDah hongera sana.
Mie wananipa makoro tu 😂
Zile beki wanasema za kawaida we angalia kwa viungo.😃😃Kwa namna mlivyomsema Batistuta embu ngoja nitulie kwanza😃😃 nifikirie card nyingine pale
Mabeki zako watapikwa mnoSasa kwa beki gani nilizonazo hizi kumkaba Owen na Batistuta 😂
Chama kidumu 😂Dah kweli ma jobless pro max sio watu wa kawaida, asubui game mapema,😂😂
Tafuta beki za kueleweka kaka oooh🤣🤣🤣Namie kanimaliza 😂
Wewe asubuhi yote hii unafanya nini Jf😃😃Dah kweli ma jobless pro max sio watu wa kawaida, asubui game mapema,😂😂
Wananizingatia sana aisee, hawana huruma na mimi 😂Ungeendelea na msimamo wako wa kumsupport Batistuta over Owen
Leo wangekupa na wewe😃
Efootball wanapita humu siku moja moja 😃😃😃
Me ninae yupo zake Reserve huko😃😃Sina mkuu mie huwa hawanipi nachotaka sijui wanashida gani na mimi 😂
Kuna pisi ina zagaa zagaaWewe asubuhi yote hii unafanya nini Jf😃😃
Nitakuwa tayari kula nyekundu 😂Mabeki zako watapikwa mnoView attachment 3333268