Umenikuta nipo exhausted ila sio sababu leo mfumo umenisumbua mno wa kwako...Mkuu wewe ndo umenipelekea moto aisee 😂
Haya maboko imekuwa mtihani kwangu, mechi ya 3 maboko pia nikawa nikipoteza sikabi tena, kumfukuzia Owen ni kujidanganya 😂😃😃Game ya kwanza umetoa boko magoli manne😃😃na hapo kuna maboko nimekosa🤣🤣
Game ya 3 ndo nakuja kucheki kumbe DMF sijamuweka aje deep.Umenikuta nipo exhausted ila sio sababu leo mfumo umenisumbua mno wa kwako...
Sasa nikikutana na Negan nitafungwa sana...
Nipate Anchorman sasa anipigie kazi....
Hata Edo kissy alikutana na shughuli ya huyo mtu 😂Wakuu ivi huyi Amrabat wa Razorblade anawasumbua kama Mimi anavyonisumbua au...
Maana kupita akiwepo ishakuwa kazi🤣🤣
Umeanza kumbe na wewe huu mchezo😃😃Game ya 3 ndo nakuja kucheki kumbe DMF sijamuweka aje deep.
Shida yako nyingine ukishafungwa mbili ni kama unapoteana😃😃unatoka mchezoni kabisa maboko yanaanzaHaya maboko imekuwa mtihani kwangu, mechi ya 3 maboko pia nikawa nikipoteza sikabi tena, kumfukuzia Owen ni kujidanganya 😂
Hamna ni kule kwenye individual instruction sikumuweka Deep line.Umeanza kumbe na wewe huu mchezo😃😃
Aah deepline mzee muhimu mimi kwa sababu sina Anchorman De jong lazima ale Deepline ndo maana nacheza double PivotHamna ni kule kwenye individual instruction sikumuweka Deep line.
Ukishatangulia kuanzia 2+ huwa nacheza tu game iishe ili tupige ingine 😂Shida yako nyingine ukishafungwa mbili ni kama unapoteana😃😃unatoka mchezoni kabisa maboko yanaanza
Ndo nilisahau sasa yani baada ya game ya 3 ndo nikaenda kuangalia, baada ya hapo Owen kapata tabu sana 😂Aah deepline mzee muhimu mimi kwa sababu sina Anchorman De jong lazima ale Deepline ndo maana nacheza double Pivot
Hapa itabid Batistuta aje tuu na phenomenal inisaidie sina namnaNdo nilisahau sasa yani baada ya game ya 3 ndo nikaenda kuangalia, baada ya hapo Owen kapata tabu sana 😂
Mzee haijaisha mpaka iishe😃😃me hata unifunge saba nitakaza tuuUkishatangulia kuanzia 2+ huwa nacheza tu game iishe ili tupige ingine 😂
Game ya kwanza nilitumia QC ila zilizobaki zote nimetumia LBC.Hapa itabid Batistuta aje tuu na phenomenal inisaidie sina namna
Sema mechi zako ngumu aisee 😂Mzee haijaisha mpaka iishe😃😃me hata unifunge saba nitakaza tuu
Niliona umeiva asee😃😃Game ya kwanza nilitumia QC ila zilizobaki zote nimetumia LBC.