Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Embu ngoja tuoneUnachagua bhana.
Embu ngoja tuoneUnachagua bhana.
Unachagua baada ya wiki 3 sasa hivi ni ku spin tuKumbe ya kuspine tena me nikajua kuchagua😴
Kumekucha.Tayali huko
Angekuwa Build up ningemfikiria.Kuna beki destroyer pale Van buyten ananipa kiwewe😃😃😃
Nimeona mkuuUnachagua baada ya wiki 3 sasa hivi ni ku spin tu
Ninaye ni mzit8 kama treni😃Kuna beki destroyer pale Van buyten ananipa kiwewe😃😃😃
Nimempata wa hovyo na tayari release imemuhusu 😂.Yes kazi imeanza😅👈
View attachment 3327650
Mimi na save nita spin zote wiki ya 3Yes kazi imeanza😅👈
View attachment 3327650
Nimeangalia naona upo unacheza English Clubs kikosi chako cha Premier league tu kikali😃😃😃Ninaye ni mzit8 kama treni😃
Kumbe ndo trick yako😃😃😃Mimi na save nita spin zote wiki ya 3
Hakuna trick unaweza ku save na ukaambulia patupu😃Kumbe ndo trick yako😃😃😃
Ukicheza mda mrefu utakipata😃Nimeangalia naona upo unacheza English Clubs kikosi chako cha Premier league tu kikali😃😃😃
Ya leo nimeipoteza ila huu ndiyo mpango wangu na mimi, ni kufanya wachanganyikiwe kwa spin nyingi siku 1.Mimi na save nita spin zote wiki ya 3.
Ngoja nijaribu hii nione 😃😃Hakuna trick unaweza ku save na ukaambulia patupu😃
Wachanganyikiwe sio😃😃Ya leo nimeipoteza ila huu ndiyo mpango wangu na mimi, ni kufanya wachanganyikiwe kwa spin nyingi siku 1.
Eeh ni kuwavuruga akili tu 😂Wachanganyikiwe sio😃😃
View attachment 3327697