Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,157
- 10,399
Anafika 100?View attachment 3327701nilikuwa namtaka huyu anifanyie kazi chafu pale namba sita hatimaye wamenipa😃😃😃
Anafika 100?View attachment 3327701nilikuwa namtaka huyu anifanyie kazi chafu pale namba sita hatimaye wamenipa😃😃😃
Marquinhos sita anapiga vizuri lakini huyu hana one touch pass na low pass ya 79 atachoma sana pale kati mtumie kama CB tuEeh kaka...
NEGAN nadhani una Neymar wa 102 huyo yule anayuzwa pack... Kwahiyo Marquinhos unaye vip unamzungumziaje kabla hajala kazi ya namba sita kwangu😃
Huyo drogba wa 105 inaonekana balaa lake si dogo.Team yangu ya My league naikumbuka ile kauli "Don't fall in love with a loan player" 😃View attachment 3328152
Bado sijamjaribu ila nimekutana online ana balaaHuyo drogba wa 105 inaonekana balaa lake si dogo.
Sawaa kaka nashukuru 🙏Marquinhos sita anapiga vizuri lakini huyu hana one touch pass na low pass ya 79 atachoma sana pale kati mtumie kama CB tu
Huko ni kuonea Ai sasa 😃😃Team yangu ya My league naikumbuka ile kauli "Don't fall in love with a loan player" 😃View attachment 3328152
Hawezi kosa balaa huyo mtu.Bado sijamjaribu ila nimekutana online ana balaa
Saa 4ANYONE FRIENDLY
Me nipo na Man U nikitoka kama utakuwepo tutaenda kakaANYONE FRIENDLY
Mkuu upo ?ANYONE FRIENDLY
Sina account mbovu ivoWaterbender bila shaka hii ndiyo account yako.
Unacheza bila DMF, hapo kati ni njia kabisa.
View attachment 3327372
View attachment 3327378
View attachment 3327386
Kila muda nikija nakosa mtuHii event ya penalty ni changamoto sana aisee, nimeclear event zote bado hii tu.
👇
View attachment 3328447
Kukikucha niimalizie ili niendelee na friend match pamoja na my league.
View attachment 3328448
Ndo username uliyoweka mkuu.Sina account mbovu ivo
Hii imekuwa changamoto kwa sisi ambao bado wabovu kwenye penalty.Kila muda nikija nakosa mtu
Me nikisearch haji mtuHii imekuwa changamoto kwa sisi ambao bado wabovu kwenye penalty.