NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Penalty mind game tuHii imekuwa changamoto kwa sisi ambao bado wabovu kwenye penalty.
Penalty mind game tuHii imekuwa changamoto kwa sisi ambao bado wabovu kwenye penalty.
Komaa atapatikana tu.Me nikisearch haji mtu
Mkuu tatizo linakuja kwenye kumchezesha huyo kipa, kutabiri anachowaza mwenzio tabu aisee 😂Penalty mind game tu
Nitakomaa kesho leo imetoshaKomaa atapatikana tu.
English club nimekutana na vipigo sio pow leo kwel kikosi chako kikosi chako tuuMkuu tatizo linakuja kwenye kumchezesha huyo kipa, kutabiri anachowaza mwenzio tabu aisee 😂
Hatimae nimeikamilisha.
View attachment 3328885
Mill broh tumepiga mechi 2 kanifunga zote😃 yupo vizuri kwa counter attack anashambulia kwa kasi.Mkuu Mill broh heshima kwako...
Nimepigiwa simu game ya mwisho ndo maana umeona nimetoka nilifanya makosa sikuzima main card leo🙏
View attachment 3328938
Leo umeninyoosha kama kawaida 🤣🤣🤣 hakuna cha haram Football leo
Razorblade nitafata ushauri wako tuwe tunamkimbia huyu tutamuachia NEGAN 😃😃😃😃
View attachment 3328939
View attachment 3328940
Ukipata time tena mkuu tutapasha tena🙏
Me yorke ananisumbua kila game ananiweka.Mill broh tumepiga mechi 2 kanifunga zote😃 yupo vizuri kwa counter attack anashambulia kwa kasi.
Sema yupo serious na kazi huyo kila akitangulia kufunga goal 1 aliniwekea full blue😃 hapa najifua tena turudiane.
Slow down mchezo hapendi kucheza mechi slow ukienda kasi na wewe atakuua kwa counter 😃Me yorke ananisumbua kila game ananiweka.
Na Vini nae speed pale mbele ananiacha mno
Anyway ngoja tujifue tuu
Hana baya huyo 😂, nitamtafuta siku nikitulia.Mkuu Mill broh heshima kwako...
Nimepigiwa simu game ya mwisho ndo maana umeona nimetoka nilifanya makosa sikuzima main card leo🙏
View attachment 3328938
Leo umeninyoosha kama kawaida 🤣🤣🤣 hakuna cha haram Football leo
Razorblade nitafata ushauri wako tuwe tunamkimbia huyu tutamuachia NEGAN 😃😃😃😃
View attachment 3328939
View attachment 3328940
Ukipata time tena mkuu tutapasha tena🙏
Ngoja nianze kufanya mazoezi kucheza bila smart assist kwa kipindi hiki cha hii event ya 8th Anniversary.Eniwei nilikiumbuka mpira wa bila smart assist nadhani nitaachana nayo mazima
Coin 500 safari inaenda vizuri😃
Mkuu umeona coins wakati mie nimeuliza swali 😂Coin 500 safari inaenda vizuri😃
😃😃😃 Game zake nafanya kazi ya kukaba tuuSlow down mchezo hapendi kucheza mechi slow ukienda kasi na wewe atakuua kwa counter 😃
Ukiwa umetulia kabisa huna stressHana baya huyo 😂, nitamtafuta siku nikitulia.
Kabisa 😂Ukiwa umetulia kabisa huna stressView attachment 3329041
Me imenishinda kaka 😃😃Ngoja nianze kufanya mazoezi kucheza bila smart assist kwa kipindi hiki cha hii event ya 8th Anniversary.
Me bado kaka hizo GP Zako hazina kazi 😃😃