Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,155
- 10,396
Soma mstari wa mwisho mkuu 😂.June tu hazifiki sembuse December 😃
Soma mstari wa mwisho mkuu 😂.June tu hazifiki sembuse December 😃
Tusubiri tuone.😃😃😃 Tuendelee kesho nasikia kuna epic inaaachiwa za bure ngoja tuone
Hawezi kuwa yeyeWaterbender bila shaka hii ndiyo account yako.
Unacheza bila DMF, hapo kati ni njia kabisa.
View attachment 3327372
View attachment 3327378
View attachment 3327386
Itakuwa ni majeruhi 😂.Hawezi kuwa yeye
.totti yupo wap sasa the Italian Prince 😂
Batistuta striker la magoliLeo ni 🔥
View attachment 3327507
Wakuu kwenye hii epic hapa yupi anafaa zaidi kupita nae?
👇
View attachment 3327509
Itakuwa ni majeruhi 😂.
Poa mkuu ngoja waje.Batistuta striker la magoli
Bastitusta hapa hiyo physical contact itatufaa
Namba zipo nusuEFOOTBALL LEAGUE
Kwa watu walio active,
Waje tutengeze league yetu
Text me wasap
075311288
jina la team yako linalotokea ukiwa unacheza mechi, na logo unayopenda tema yako ionekane kwenye league...
Batistuta amemzidi Owen vitu muhimu.
Kwanini isiwe humuhumu maana muhimu ni kuwa active.EFOOTBALL LEAGUE
Kwa watu walio active,
Waje tutengeze league yetu
Text me wasap
075311288
jina la team yako linalotokea ukiwa unacheza mechi, na logo unayopenda tema yako ionekane kwenye league...
Lakini usisahau Michael Owen ana weak foot 3/3 na balance ya 90 si habaKwanini isiwe humuhumu maana muhimu ni kuwa active.
Dah! Nimekagua vizuri, Owen yuko vizuri.Lakini usisahau Michael Owen ana weak foot 3/3 na balance ya 90 si haba
Kumbe ya kuspine tena me nikajua kuchagua😴Moyo wangu umegoma kabisa Owen. Hapa naondoka na Batistuta sema kuspin players 300 uwe na bahati sanaView attachment 3327596
Unachagua bhana.Kumbe ya kuspine tena me nikajua kuchagua😴