Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,155
- 10,396
Selikavu unaitwa.Nani anacheza hivyo, aje
Selikavu unaitwa.Nani anacheza hivyo, aje
User name yako mtaalam tuku add kwenye list .....Nani anacheza hivyo, aje
Sawa mtaalam mda gani utakuwa online?🙌Owaa kumbe ni Id yako🤣🤣🤣🤣me hata sijui nilishasahau nikajua ni moja ya watu wangu wa Online😃😃😃
Kaka naomba tuludi tena😂😂😂game ya kwanza ulichonifanya sijapenda 🤣🤣🤣
Mzee wa italian Prince Totti🤣🤣Njoo nae nikushow
Acha tuu kaka🤣🤣Hiyo inaitwa ulipo nipo 😂.
Huyo totti anachungwa mno nikisema weka iD tukamkamie haweki😂😂😂Weka id hiyo tumpige Totti😃
Hajawai weka huyo totti anachungwa kama kibwasala😂User name yako mtaalam tuku add kwenye list .....
Hata muda huu maana saa nne leo Uefa kakaSawa mtaalam mda gani utakuwa online?🙌
Drone football 😂.😂😂Anataka akaone Aviator🤣
NI muchi tuMzee wa italian Prince Totti🤣🤣
List ya nn?mnielewehseUser name yako mtaalam tuku add kwenye list .....
ASKJ331709026Hajawai weka huyo totti anachungwa kama kibwasala😂
Me natunza kwa ajili ya kocha wa Qc wa booster mbiliView attachment 3327166
Haya wale wakuchoma coins epic ya kesho hiyo.
Ningekuwa na coins ningechoma kwaajili ya Gullit na Raúl.
Username yako ya kwenye game mkuu👈List ya nn?mnielewehse
Mie sasahivi nataka nijaribu kuzitunza mpaka December 😂.Me natunza kwa ajili ya kocha wa Qc wa booster mbili
June tu hazifiki sembuse December 😃Mie sasahivi nataka nijaribu kuzitunza mpaka December 😂.
Maombi yanahitajika sana 😂.
😃😃😃 Tuendelee kesho nasikia kuna epic inaaachiwa za bure ngoja tuoneMie sasahivi nataka nijaribu kuzitunza mpaka December 😂.
Maombi yanahitajika sana 😂.