eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kaka huyu si ndio mimi mbona nimepigika kipigo kitakatifu hivyo😅🙌
Owaa kumbe ni Id yako🤣🤣🤣🤣me hata sijui nilishasahau nikajua ni moja ya watu wangu wa Online😃😃😃

Kaka naomba tuludi tena😂😂😂game ya kwanza ulichonifanya sijapenda 🤣🤣🤣
 
Mill broh muda ule simu iliishiwa moto kaka... Ndo maana nikasepa😃

Bora nimekupata twende tena ukipata time... Tupate game nyingi kadri ya uwezo wetu😃😃


Game ya kwanza imeniuma umeniua kikatili mno😂😂😂
 
Ila haram Football ni hatare naomba tu niishike vizuri..

Game ya kwanza nimejikuta naenda toe toe na huyu jamaa kanipiga tano😃nunge na bila shoot hata moja
View attachment 3326692
Game ya pili nimeingia tena hvyo hivyo jamaa akanipiga nne kipind cha kwanza 😃😃😃nikasema imeisha hapa nizuie tuu
Nikaanza haram Football kilichotokea🙌jamaa hajaamini kabisa na kikosi chake cha 3150View attachment 3326694
Nilichogundua uwanjani kazi yangu ni kukaba tuu basi😃😃na kuongojea nafasi mpira mzuri nauacha😃😃
Huyu jamaa huwa namkwepa hata nikimkuta online 😂.
 
Idumu haram football idumu😃
Niwe mkweli tu hii harram football hainifanyi niburudike ndiyomaana naitumia kwenye dvn tu kwasababu ndiyo mpira unaotumika kule kwa asilimia kubwa.

Ukizoea harram football ni ngumu kufurahia game labda iwe unataka tu matokeo na siyo kupata matokeo kwa kucheza mpira mzuri.
 
Niwe mkweli tu hii harram football hainifanyi niburudike ndiyomaana naitumia kwenye dvn tu kwasababu ndiyo mpira unaotumika kule kwa asilimia kubwa.

Ukizoea harram football ni ngumu kufurahia game labda iwe unataka tu matokeo na siyo kupata matokeo kwa kucheza mpira mzu
Harama unatumia pale mbinu zote zimegoma au mpinzani wako unaona kabisa kakuzidi uwezo kila pass ana intercept. Au imebaki mechi moja upande hapo ndio inatumika.l si muda wote.
 
Back
Top Bottom